DriverPack Cloud ni programu mpya kwa ajili ya kuongeza utendaji kazi wa PC yako

Sakinisha DriverPack Cloud
Kabla ya kuanza kusakinisha soma hii Mkataba wa leseni, tafadhali
screens

Programu ya DriverPack Cloud ni nini?

Hii ni mpya ya programu kutoka timu DriverPack, imebuniwa kuboresha ufanisi wa kompyuta yako bila gharama za ziada au kuboresha zana za PC yako. Hauridhishwi na kasi ya uendeshaji ya CS: GO au Dota 2 kwenye kompyuta yako? Jaribu DriverPack Cloud!

Je ni jinsi gani DriverPack Cloud inavyofanya kazi?

Bidhaa yetu huchanganua hali ya viendeshaji kwenye PC yako, hudhihirisha kila programu inayoathiri ufanisi wa kompyuta yako katika namna moja au nyingineyo, na hutoa mapendekezo yake katika kusasisha viendeshaji na kuondoa programu inayofanya kompyuta yako nzito, au kinyume chake, hupendekeza kusanikisha bidhaa ya pembeni itakayosaidia kuongeza kasi ya utendaji wa kifaa chako. Mchakato mzima huwa chini ya usimamizi wako – hakuna vitendo kutoka upande wa DriverPack Cloud bila ya idhini yako

Tunajibu maswali yako

features-monitoring
Kinasimamia hali ya viendeshi vyako, hupakua masasisho muhimu na viendeshi vilivyokosekana kutoka kwenye ghala-data kubwa ya DriverPack
features-protect
Inawezesha to kudhihirisha na kuondoa programu-haribifu haraka, na hivyo, kuisaidia kiua-virusi chako
features-cloud
Inafanya mahesabu katika huduma ya Cloud inayokuwezesha kuokoa rasilimali ziada kwenye kompyuta yako
Sakinisha DriverPack Cloud
Kabla ya kuanza kusakinisha soma hii Mkataba wa leseni, tafadhali

jinsi ya kuondoa DriverPack Cloud moja kwa moja kutoka kwenye Kompyuta yako

Umesanikisha bidhaa yetu lakini hutaki kuitumia? Nenda kwenye kipengele cha Programu kwenye Paneli Ya Udhibti, na bofya kwenye Ondoa Programu. Tafuta DriverPack Cloud kwenye orodha-mdondoko na iondoe ukifuata hatua za kawaida. Ni hayo tu, programu imeondolewa. DriverPack Cloud haiachi programu zilizojificha baada ya kuondolewa, wala kuijaza PC yako na uchafu wa programu za matangazo.

Tufahamishe maoni yako kuhusu DriverPack Cloud

Je unaipenda DriverPack Cloud? Ungependa shughuli gani nyingine ziongezeke? Tafadhali tuambie.